HAMISA MOBETTO AWASHA MOTO: ‘FASHION? NI DAMU YANGU HIYO!
Mwanamitindo maarufu na mke wa kiungo tegemeo wa Klabu ya Yanga SC, Stephane Aziz Ki, Hamisa Mobetto, ameendelea kuthibitisha kuwa yeye si mtu wa kawaida linapokuja suala la fashion.
Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii, Hamisa ameandika kwa kujiamini:
“Sanaa ya kuvaa si kila mtu anaiweza… lakini mimi? Nimezaliwa nayo.” 🥰✨
Post a Comment