Watuhumiwa 8 wa Upotevu wa Makontena 349 Wafikishwa Mahakamani
WATUHUMIWA nane wa upotevu wa makontena 349 yaliyovushwa Bandarini ya Dar es Salaam bila kulipiwa kodi, miongoni mwao akiwemo Kamishna wa Kodi na Forodha Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Tiagi Masamaki wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo ili kujibu tuhuma zinazowakabili.
Washitakiwa
wote wamerudishwa rumande hadi tarehe 17 Desemba kwa kuwa mahakama
hiyo haina uwezi wa kusikiliza wala kutoa dhamana ya keshi hiyo.
Post a Comment