Timu ya Samatta na Ulimwengu watupwa nje Kombe la Dunia la Vilabu
Kikosi cha TP Mazembe ambacho kinaundwa na watanzania wawili Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu kimeenguliwa kwenye michuano ya FIFA Club World Cup inayoendelea kuchanja mbuga nchini Japan baada kukubali kipigo cha magoli 3-0 mbele ya wenyeji Sanfrecce Hiroshima kwenye mchezo uliomalizika kwenye dimba la Osaka Nagai Stadium, Japan.

Post a Comment