Pinda Akabidhi Rasmi Ofisi Kwa Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa
Waziri
Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akimkaribisha Waziri Mkuu, Mstaafu,
Mizengo Pinda ambaye Novemba 30,2015 alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu
jijini Dar es salaam kukabidhi Ofisi.
Waziri
Mkuu, Majaliwa Kassim Majliwa akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu,
Mizengo Pinda ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es
salaam Novemba 30, 2015 kukabidhi Ofisi.
Waziri
Mkuu, Majliwa Kassim Majaliwa na Waziri Mkuu, Mstaafu, Mizengo Pinda
wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt Florence Turuka
aliposoma taarifa kabla ya Waziri Mkuu Mstaafu kukabidhi Ofisi, kwenye
ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Novemba 30, 2015.
Waziri Mkuu, Mstaafu Mizengo Pinda akizungumza kabla ya kukabidhi
Ofisi kwa Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa, kwenye ukumbi wa
Ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Novemba 30, 2015.
Waziri
Mkuu, Majaliwa Kassim Majliwa akipokea taarifa ya makabidhiano ya
Ofisi ya Waziri Mkuu kutoka kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda
kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuujijini Dar es salaam Novemba 30,
2015.
Waziri
Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kupokea taarifa ya
makabidhiano ya Ofisi kutoka kwa Waziri Mkuu Mtaafu, Mizengo Pinda
kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Novemba 30,
2015. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu Maka
Kikula.
Waziri
Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kupokea taarifa ya
makabidhiano ya Ofisi kutoka kwa Waziri Mkuu Mtaafu, Mizengo Pinda
kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Novemba 30,
215. Watatu Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu Maka
Kikula.
Waziri
Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akifurahia katika mazungumzo na Waziri
Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu
Dkt. Florence Turuka baada ya Waziri Mkuu Mstaafu kukabidhi rasmi Ofisi
ya Waziri kwa Waziri Mkuu Majliwa , kwenye ukumbi wa Ofisiya Waziri
Mkuu jijini Dar es salaam Novemba 30, 2015.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Post a Comment