BARCELONA YAAMUA KUINGIA VITANI KUMPATA KINDA EMBOLO
Barcelona imeamua
kuingia kwenye vita ya kumnasa Mcameroon, Breel Embolo.
Embolo ndiyo ana miaka
18 tu na anaendelea kuwa nyota katika kikosi za Basel ya Uswiss.
Mcameroon huyo sasa ana
uraia wa Uswiss na amekuwa tishio katika ligi ya nchi hiyo hadi Ligi ya
Mabingwa.
Post a Comment