Matokeo ya Kombe la Capital One Uingereza jana Man City, Stoke zatoa kipigo
Mtu wangu wa nguvu mpenda soka ikiwa ni siku ya pili ya mwezi December kwa mwaka 2015, Uingereza imepigwa michezo kadhaa usiku wa December 1, michezo iliyopigwa ni michezo mitatu ya Kombe la Capital One. Man City walicheza mechi dhidi ya Hull City, Middlesbrough walicheza dhidi ya Everton na Stoke City walicheza dhidi ya Sheffield Wednesday.
Matokeo ya mechi hizo
-
Manchester City 4 – 1 Hull City
-
Middlesbrough 0 – 2 Everton
-
Stoke City 2 – 0 Sheffield Wednesday
Post a Comment