ad

ad

Basi la Takbir Lagongana na Lori Usiku wa kuamkia leo na Kuua Watu Kadhaa


Habari zilizotufikia usiku wa kuakia leo kuwa watu kadhaa wamepoteza maisha katika ajali mbaya iliyotokea baada ya basi la abiria la Takbir lenye namba za usajili T 230 BRJ lililokuwa likitokea jijini Dar es Salaam kwenda Mwanza kugongana na lori eneo la Shelui, kijiji cha Kizonzo omkoani Singida.



Powered by Blogger.