ad

ad

KWELI INAUMA, HAYA NDIYO MANENO YA MWANZO NA MWISHO JOHN TERRY BAADA YA MOURINHO KUFUTWA KAZI


Beki na nahodha wa Chelsea, John Terry ameonyesha upendo wake kwa Kocha Jose Mourinho aliyefutwa kazi.

Mourinho amefutwa kazi baada ya Chelsea kupoteza mechi 9 kati ya 16 za Ligi Kuu England huku kati ya mechi sita za mwisho akifungwa nne na mbili dhidi ya timu za Bournemouth na Leicester City zilizopanda daraja.

Lakini Terry ametupia maneno yake akionyesha kumlilia Mourinho:

“Ahsante ni kama neno lisilotosha, ni siku ya huzuni sana. Nitakukumbuka bosi wangu.

“Wewe ni namba moja kati ya niliowahi kufanya nao kazi, hakika siamini.”
Powered by Blogger.