ad

ad

Kauli ya Januari Makamba kuhusu kumkejeli Rais Magufuli

January Makamba ameamua kutoa ufafanuzi wa picha mbalimbali zilizowekwa katika akaunti yake ya Instagram ambazo zinadaiwa kumkashfu Rais Magufuli baada ya kumnyima Uwaziri Mkuu.

Hizi ndo Picha alizoweka ambazo zinadaiwa kumkejeli Rais Magufuli
Picha hii inaonyesha   sokwe mtu wakiwa wamevalia suti  na  huyo mtu anayeonekana kurukia kamba huku nyuma ana mkia lakin akiwa amevalia kaptula peke yake Picha hii inaonyesha Nguruwe wakiwa wamepewa heshima ya zulia jekundu ambayo ni heshima ya kipekee anayopewa binadam pekee  
 Picha hii inamuonyesha mtu akiwa amewasha moto kwa kutumia kuni ambazo chanzo chake ni ngazi anayotakiwa kutumia kutokea nje ( juu )  
  
Msikilize January Makamba akiongea hapo chini
Powered by Blogger.