Diva Loveness azungumzia bifu lake na Diamond Platinumz kwenye interview ya Mkasi
Mtu wangu kama hukuwa karibu na TV yako kuangalia show ya Mkasi on EATV December 21, 2015 usiku hizi ni sentensi za Mtangazaji wa Clouds FM, Diva aka The Bawse kuhusu uhusiano na rapper kutokea Kenya Prezzo pamoja na ugomvi uliotokea Agosti 24, 2015 kwenye kipindi cha XXL kati yake na Diamond Platnumz.
‘Kwanza Prezo tulikuwa ni kama marafiki, hatukuwahi kuwa faragha,”Sikutaka Prezo anioe, he is really nice ila simkumbuki kabisa bali namkumbuka kama msanii,Sasa hivi nafanya mambo yangu, I don’t even talk about dating someone– Diva Loveness
“Kwanza mimi sijawahi kumtongoza msanii halafu wasanii wengi wa Bongo Fleva ni marafiki zangu, kwanza watu waelewe sana Familia yangu huwa inaumia sana sana kwa hizi scandal-Diva Loveness
Salama:..’Ebu tuzungumzie kidogo ishu ya wewe na Diamond Platnumz ilikuwaje?
Diva:…‘Ishu ya Diamond mimi niliingia Studio ili niandae kipindi changu ndio ikatokea kilichotokea, ila baadae akaja kuniomba msamehe yaani aliandika barua na ikapita kwenye uongozi wangu kutokana na kile alichokuwa akikizungumza kwani alinidhalilisha nikiwa kama msichana– Diva Loveness

Post a Comment