ad

ad

RATIBA YA MECHI ZOTE ZA UEFA CHAMPIONS LEAGUE JUMANNE NOVEMBER 24

Michuano ya UEFA Champions League inaendelea usiku wa leo kwa michezo kadhaa, michezo ambayo inasubiriwa kwa hamu kubwa na watu wengi ni ile ya kundi ambalo wapo Arsenal, FC Bayern Munich, Dinamo Zagreb pamoja na Olympiakos.
Baada ya kuwapiga bao 4-0 mahasimu wao wa Hispania Barcelona leo watakuwa wenyeji wa AS Roma kwenye uwanja wa Nou Camp, ikumbukwe kuwa Roma ni timu ya zamani ya kocha wa sasa wa Barcelona Luis Enrique.
Arsenal wakiwa na pointi zao tatu mkononi wataikabili timu ya Dinamo Zagreb, mechi ya kwanza iliyopigwa mjini Zagreb Arsenal ililala kwa bao 2-1.
Timu ya Chelsea inacheza na Maccabi Tel-Aviv, iwapo Chelsea itafanikiwa kushinda na Porto wakafanikiwa kuwafunga Dynamo Kiev Chelsea watakuwa na mazingira mazuri ya kusonga mbele kwenye hatua inayofuata ya mtoano.
Hii hapa ratiba kamili ya mechi zote zitakazopigwa usiku wa leo (Jumanne November 24, 2015).
1
Powered by Blogger.