Mbunge wa Singida Magharibi jana aliwasilisha barua kwa katibu wa bunge ili kusimamisha posho zake zote "sitting allowance" na kuziweka kwenye akaunti maalum kwa ajili ya maendeleo ya jimbo hususan kwenye maji, elimu na afya...
Post a Comment