BAYERN YASONGA MBELE UEFA CHAMPIONS LEAGUE
Bayern Munich wamejihakikishia nafasi kwenye hatua ya mtoano ya UEFA
Champions League bada ya jana usiku kufanikiwa kupata ushindi wa magoli
4-0 dhidi ya Olympiakos kwenye dimba lao la nyumbani la Allianz Arena.
Miamba hiyo ya Ujerumani na Bundesliga ilipata magoli 3-0 mapema ndani ya dakika 20 shukrani kwa Douglas Costa, Robert Lewandowski na Thomas Muller.
Kinda wa kifaransa Kingsley Coman akaongea bao la nne kipindi cha pili baada ya Bayern kubaki pungufu kufuatia mchezaji Holger Badstuber kutolewa nje kwa kadi nyekundu kwenye kipindi cha pili cha mchezo huo.

Post a Comment