ad

ad

TANZIA: MCHUNGAJI MTIKILA AFARIKI DUNIA


Mwanasiasa mashuhuri nchini na Mwenyekiti wa Chama Cha DP Mch.Christopher Mtikila amefariki dunia na watu wengine watatu kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea katika kijiji cha Msolwa kilichopo Chalinze mkoani Pwani asubuhi ya leo. Mtikila amekumbwa na mauti hayo wakati akitoka mkoani Morogoro kwenda Dar es Salaam.
Kwa habari zaidi endelea kufuatilia habari zetu tutakujuza hivi punde.
Powered by Blogger.