Taiya adai kuponzwa na filamu za usaliti wanaume wengi wanamuogopa!
MSANII wa
filamu na muziki anayekuja kwa kasi, Taiya Odero amedai kuponzwa na
filamu za usaliti anazocheza kwa kuwa wanaume wengi wanamuogopa
kumtongoza wakimuhofia kuwasaliti katika mapenzi.

Post a Comment