ad

ad

Tundu Lissu na JK, Sumaye na CCM, Lowassa; ‘hawajui walitendalo’, na kesi Sheria ya Mitandao!? (Audio)


Pirika pirika za asubuhi ni nyingi na inawezekana uchambuzi wa magazeti @CloudsFMumekupita, ninazo tayari zile kubwa kubwa kutoka kwenye magazeti ya leo…
Tundu Lissu amjibu Kikwete kuhusu RICHMOND asema Lowassa aling’oka kumuokoa,Maalim Seif aweka historia ZanzibarFrederick Sumaye aitolea uvivu CCMEdward Lowassa asema ataweka historia kwenye uongozi.
Mgombea Urais CCM Zanzibar Ali Mohamed Shein asema kushinda uchaguzi mkuu dhidi ya wapinzani ni lazima, Mgombea Urais kupitia CHADEMA Edward Lowassaasema wanaotoa kauli za kumtukana hawajui walitendalo, NEC imesema maandaalizi ya Uchaguzi Mkuu yamekamilika kwa 50% licha ya changamoto ndogondogo.
Baadhi ya wasomi hawajaridhishwa na jinsi kampeni za wagombea Ubunge, Udiwani na Urais zinavyoendeshwa, Mgombea Urais kupitia ACT Wazalendo Anna Mgwila asema akipata ridhaa ya kuongoza nchi Serikali yake itafanya kazi bila kulala na kuhakikisha wafugaji na wakulima wanapata fursa za kumiliki ardhi ili kupunguza migogoro ya ardhi.
Kesi ya kwanza kupinga Sheria ya Makosa ya Mitandao yaanza, uteuzi wa Makamishna wa NEC na Rais Kikwete yazua mjadala, TFC wamesema hawataki viongozi wa siasa kuingilia shughuli zao kwani wao ndio wamekuwa kikwazo kikubwa kwao na Sheria mpya ya Madawa ya Kulevya yaanza rasmi leo.
Kama hukuweza kusikiliza uchambuzi wa magazeti kwenye #PowerBreakfast karibu usikilize tena hapa chini kwenye hii sauti.
.
.
Kutoka Dar es Salaam Tanzania leo Jumatano Septemba 16, 2015 tayari nimeyakusanya Magazeti yote na stori zake kubwakubwa kukusogezea hapa, headlines baada ya headlines kwenye Magazeti ya  Udaku, Michezo na Hardnews, zote ziko hapa
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
DSC00417
.
DSC00416
.
Powered by Blogger.