Tazama hapa picha za uzinduzi wa kampeni wa Mh. James Lembeli
"Kahama inatakiwa uwe mji wa biashara unaounganisha Kenya Uganda Rwanda na Burundi" Lembeli
Hayo aliyasema Mh. James Lembeli mgombea ubunge wa Kahama kupitia tiketi
ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA alipokuwa akizinduwa
rasimi kampeni Zake jana tar 01/sep/2015
Uzinduzi huo ulifanyika jana katika viwanja vya CDT mjini kahama
Post a Comment