Mahakama kuu yatengua hukumu dhidi ya Mbowe,yaamuru arudishiwe faini aliyolipa
Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA Freeman Aikael Mbowe ameshinda rufaa
aliyokata Mahakama Kuu dhidi ya hukumu iliyotolewa katika kesi
aliyoshtakiwa kumshambulia msimamizi wa uchaguzi aliyekuwa akifanya
udanganyifu katika fomu za matokeo ya uchaguzi 2010 huko Hai .
Awali Mbowe alihukumiwa faini ya Sh.1,000,000 au kifungo gerezani katika mazingira yanayoonyesha njama za kisiasa na kuzua taharuki kubwa kwa umma.Mbowe alilipa faini kisha akakata rufaa mahakama kuu
Muda mfupi uliopita Mahakama kuu imetengua hukumu na imeamuru arudishiwe fine yake aliolipa.
Kesi hiyo ilikua inasimamiwa na Wakili msomi Peter Kibatala ambaye pia ni Mkurugenzi wa Katiba na Sheria wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo.
Hukumu ya Freeman Mbowe, ilishawahi kujadiliwa kwenye hii thread=>Hai: Freeman Mbowe apatikana na hatia, ahukumiwa mwaka Mmoja jela

Post a Comment