wemasepetuIts
My Birthday and Im Soooooo Excited..... Najua wishes ni nyingi sana...
thank Y'all kwa birthday wishes... birthday ya mwaka huuu imekuja wakati
ambao sipo Dar jamani... And niko busy kwenye campaign za Uchaguzi
BUT......!!! Birthday ya Tz sweetheart haiwezi pita without a party...
Na party hiio basi itafanyika Oct 28th.... Itakuwa ni Balaaaaaaaa.....
Ila leo nimelia sana.... Im jus sooo blessed... Nawapenda wote ....
October 28th... Note the Date.... Itakuwa ni Party ya Mwaka... Best
bliv.......😉😉 Will you be invited....?🙊 Once again Happy Birthday to
me.... 💃💃💃
Post a Comment