ad

ad

Mwili wa Mama Celina Kombani tayari umeagwa Dar, safari imeanza kwa ajili ya Mazishi.

RIP Mama Celina Kombani… Usiku wa September 24 2015 taarifa ya Majonzi ilitufikia ambapo taarifa yenyewe ilikuwa inahusu msiba wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Mama Celina Kombani.
Mama Celina alifariki kutokana na maradhi ya Saratani, na alifariki akiwa India ambako alienda kwa ajili ya kupatiwa matibabu.
Taarifa kuhusu Ratiba ya mwili kuwasili Dar es Salaam na shughuli za kuaga mwili pamoja na Ratiba ya Mazishi tayari ilitolewa.
Screen Shot 2015-09-28 at 2.21.05 PM
Watu wa Bongo Movie, mbele ni Steve Nyerere akiwa ameongozana na Wema Sepetu.
Mwili wa Marehemu umewasili Dar na watu mbalimbali wamejitokeza kuaga mwili ya Marehemu katika Viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam.
Screen Shot 2015-09-28 at 2.21.10 PM
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, DC Paul Makonda.
Screen Shot 2015-09-28 at 2.21.17 PM
Screen Shot 2015-09-28 at 2.21.23 PM
Screen Shot 2015-09-28 at 2.21.29 PM
Screen Shot 2015-09-28 at 2.21.35 PM
Screen Shot 2015-09-28 at 2.21.42 PM
Screen Shot 2015-09-28 at 2.21.48 PM
Screen Shot 2015-09-28 at 2.21.54 PM
Screen Shot 2015-09-28 at 2.22.00 PM
Screen Shot 2015-09-28 at 2.22.07 PM
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwapa pole ndugu wa Marehemu Mama Kombani.
Screen Shot 2015-09-28 at 2.22.13 PM
Screen Shot 2015-09-28 at 2.22.19 PM
Baadhi ya watu wakiendelea kutoa heshima za mwisho kwa Marehemu mama Celina Kombani.
Screen Shot 2015-09-28 at 2.22.25 PM
Screen Shot 2015-09-28 at 2.22.30 PM
Screen Shot 2015-09-28 at 2.22.37 PM
Screen Shot 2015-09-28 at 2.22.42 PM
Screen Shot 2015-09-28 at 2.23.13 PM

Screen Shot 2015-09-28 at 2.23.26 PM
Screen Shot 2015-09-28 at 2.23.36 PM
Screen Shot 2015-09-28 at 2.23.42 PM
Screen Shot 2015-09-28 at 2.23.48 PM
Msafara wa Msiba ulianza Safari kuelekea Morogoro ambako Mazishi yatafanyika Jumanne September 29 2015. RIP Mama Celina Kombani.
IMG-20150927-WA0090
Powered by Blogger.