ad

ad

KYELA - KUBENEA AKIMCHAMBUWA DR SLAA NA RICHMOND


Mwandishi wa Habari na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Ubungo kwa tiketi ya CHADEMA, Saed Kubenea amesema kuwa walifanya Utafiti na kubaini kuwa Dr. Slaa asingeweza kushinda Urais mwaka 2015
-Aliyasema hayo akihutubia mkutano wa hadhara Kyela Mkoani mbeya
Powered by Blogger.