ad

ad

DJ Fetty ametangaza kuacha kazi ya utangazaji

Jina lake ni Fatma Hassan aka DJ Fetty, moja ya Watangazaji ambao wamepata majina makubwa sana TZ na East Africa kutokana na kazi ya Utangazaji ambapo ana mchango mkubwa pia kwenye muziki wa Bongo Fleva kama Mtangazaji wa show ya Entertainment,XXL ya Clouds FM.
IMG-20150915-WA0006
September 15 2015 Show ya XXL inaandika Historia nyingine tofauti ambapo DJ Fettyametangaza kuacha kazi ya Utangazaji na kuingiza nguvu yake zaidi kwenye masuala ya Biashara… wakati Fetty anatangaza hivyo, presenter mwingine pia Kened the Remedyameungana na Timu ya XXL kwa mara ya kwanza.
IMG-20150915-WA0002
IMG-20150915-WA0007-1
IMG-20150915-WA0008
UGANDAN-YOUNG-MAN-WITH-OLD-WIFE
Ndani ya Studio ya Clouds FM, hapo yuko KenneddAdam MchomvuDJ ZeroB Dozen na DJ Fetty.
Powered by Blogger.