SAID NKUMBA AMEJIUNGA UKAWA, MWAKA WA MAAJABU HUU!
Aliyekuwa mbunge wa Sikonge kwa tiketi ya CCM na pia akiwa Mwenyekiti wa kundi la TANZANIA KWANZA lililokuwa linahasimiana na UKAWA kwenye BUNGE MAALUM LA KATIBA (BMK) Mhe. Said Nkumba amejiunga rasmi na UKAWA via CHADEMA.
Karibu sana brother, huku ulikokuja sasa tutatetea pamoja maoni ya wananchi kwenye katiba ya Warioba na siyo ile iliyopendekezwa.
JM.
Karibu sana brother, huku ulikokuja sasa tutatetea pamoja maoni ya wananchi kwenye katiba ya Warioba na siyo ile iliyopendekezwa.
JM.

Post a Comment