Picha za Fainali ya Kinondoni Talent Search, Rais JK Mgeni Rasmi usiku wa jana
Safari ya Vijana ambao waliamua kufungua milango kuelekea ndoto zao, kutumia vipaji vyao ili viwe ajira kupitia Mchakato wa Kinondoni Talent Search, usiku wa August 15 2015 tayari imefikia hatua ya Fainali.
Wazo la Kinondoni Talent Search lilitolewa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, DC Paul Makonda na vijana ambao waliiona hii nafasi walijitokeza kwa wingi kushiriki, ukapita mchujo mpaka kupatikana wachache ambao wamegusa stage ya fainali.
Washindi wa kudance, kuimba na kuchekesha tayari wamepatikana na hapa ninaanza kukusogezea pichaz mwanzo mwisho ilivyokuwa kwenye Fainali hizo.
Rais JK alikuwa mgeni rasmi kwenye fainali hizi, pembeni yake ni DC Paul Makonda.
Mastaa wa Bongo Movie nao wakifuatilia kwa ukaribu kila kitu kwenye Fainali.
Steve Nyerere ana jeraha kichwani, lakini alikuwepo pia.
Mwigizaji Single Mtambalike na Irene Uwoya pembeni.
Mrembo Rose Ndauka, staa mwingine toka Bongo Movie.
MC wa Shughuli ndio huyu bwana, anaitwa Mpoki toka Kundi la Orijino Komedi.
.
Nuh Mziwanda na mpenzi wake, Shilole kwa pembeni.
Mrembo staa wa Muziki, Baby J
Mwigizaji Odama na Rapper Izzo Bizness.
Meza ya Majaji, Msami Baby pale mwanzo, Kajala, Peter Msechu na mwisho ni Zembwela.
Huyu ni mwimbaji, hii ilikuwa time yake kuonesha uwezo.
Meza Kuu pembeni ya Stage, yuko Rais JK, Mbunge Idd Azzan, DC Paul Makonda na Samson Mwakifwamba, Kiongozi wa Bongo Movie.
Kijana akionesha uwezo wake kwenye kuchekesha.
.
Huyu mrembo yeye alishiriki kama mwimbaji.
Mchekeshaji aliyeibuka na jina la Balotelli, huyu ndio mshindi wa Comedy.
.
.
Mshiriki mwingine wa kudance.
Wema Sepetu na Mirror.
.
.
Kitu kimemfurahisha Ray.
Huyu mshiriki ndio mshindi kwa upande wa waimbaji,, anaitwa Lilian.
Huyuni Laidanus Vitalis, ndiye mshindi wa dancers.
PICHA ZOTE NA MILLARDAYO.COM

Post a Comment