ad

ad

Ofisi ya Makamu wa Rais yakanusha Gharib Bilal kuongea na waandishi wa habari leo

Makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal.
OFISI ya Makamu wa Rais imekanusha  taarifa za kwenye mitandao ya kijamii  kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal ataongea na vyombo vya habari kuhusu msimamo wake ndani ya serikali na Chama Cha Mapinduzi.
Powered by Blogger.