Mabasi yaendayo kasi (BRT) katika Jiji la Dar es Salaam yanaanza leo na abiria watasafirishwa Kimara hadi Kivukoni Bure katika uzinduzi huu Kwa upande wako wewe, unauzungumziaje usafiri huu?
Post a Comment