Shilole na Nuh Mziwanda watupiana vijembe katika mtandao!
Kidume unataka raha tu 'pesa hauna 'na bado siunaleta ujanja kwa mtoto wa igunga 'mjini hapa 'halafu sina habari 'wacha niwe busy na kazi zangu tu'mapenzi yashanishinda mie.nawapenda sana mashabiki wangu! Manopenda mitelemko kazi mnayo kupandisha vitonga hamtaki mtanyoookaa na kama ulikuwa unatembelea Kik yangu basi katafute snare
Shilole na Nuh Mziwanda ni moja ya couple ambazo zimekuwa maarufu sana mitandaoni, siku ya jana katika mtandao wa Instagram wameandika maneno ambayo yanaashiria kuwa wameacha kwa sababu kila mmoja aliandika maneno yaliyokuwa yanamlenga mwenzake.
Katika mtandao wa Insta Shilole ameandika “Mwanaume hata umfanyie nini haridhik lol! Pamoja na kukubali shida zake zote lakin mh! Nimejitahid nimehangaika’ila sasa kama gari limewaka’aka babu weeee kanikuta na maisha yangu wacha niendelee na maisha yangu’Mimi na yeye baaaaaaasi #GaNdALaNdiZi“.
Nuh mziwanda nae akaandika “Mwanaume wa kweli ukaa kimya’sibishani na upumbavu’mwanamke asieridhika na kujua kua kathaminiwa mpaka tatoo kachorwa’na kuvumilia mambo yote alionifanyia ya kuniaibisha mbele ya mashabiki zangu’familia na’wasanii wenzangu na wadau’anaanza kunitukana mitandaoni for whaaaat!!! Mxeeeeew’mimi bado kijana na nna time ya kupata maisha yangu na mtu atakae thamini moyo wangu ‘nawaachia wanaume wenzangu na nyie mjaribu zari ‘mimi nacheka tu #AsHaNgeDerE“.
Je ni kweli watakuwa wameachana au wanatafuta kiki ya ngoma mpya? tusubiri tuone.

Post a Comment