ad

ad

PICHA: BANZA STONE AZIKWA SINZA, DAR

 Mamia ya Waumini wa Kiislam wakiwa wamebeba Jeneza lenye mwili wa Marehemu Ramadhan Masanja 'Banza Stone' wakati wakiutoa mwili huo nyumbani kwao kuelekea Msikitini kwa kuswaliwa na kisha kwenda kuuhifandi  kwenye Makaburi ya Sinza, Jijini Dar es salaam alasiri hii.












 Kaka wa marehemu, Jabil (katikati) akisadiwa kunyanyuka katika kiti.

 Mtoto wa marehemu, Haji Banza (kushoto) akifarijiwa na Mama Salma Kikwete (katikati).


Powered by Blogger.