Madiwani takriban 20 wa CCM Wilayani Monduli (Jimboni kwa Lowassa) wanadaiwa kurudisha kadi za CCM na kutangaza kujiunga na CHADEMA. -Pia Wenyeviti wengi wa vijiji na vitongoji pamoja na wajumbe wa Serikali za mitaa wamejiunga na CHADEMA.
Post a Comment