KIM KARDASHIAN AMUAIBISHA MUMEWE
Mwanamitindo wa Marekani, Kim Kardashian.
New York MarekaniMashabiki wa Kim Kardashian, wameshangaa kitendo cha yeye kutoka nyumbani bila kuvaa Bra na kudai kuwa ni kumuaibisha mume wake kwani hii si mara ya kwanza.
“Kivazi hiki kimekuwa kikiwatega watu kwani sehemu kubwa ya kifua chake kiko wazi, si vizuri kwa mama mwenye mtoto kuvaa nguo kama hii, kweli anamhaibisha mumewe”, alisema Shabiki mmoja

Post a Comment