Dokta Mimi Siumwi Huko - 04

ILIPOISHIA:
Kwa kutumia tundu la komeo la mlangoni, Sulee alichungulia ndani.
“Duh! Yaani kweli…?” Sulee alitamka maneno hayo baada ya kuona kwa ndani.
BURUZANA NAYO SASA…
Akarudi na kukaa tena kwenye benchi kama zamani, lakini akawa hatulii sehemu moja…
Kila mara alikuwa akiinuka kukaa, mara asogee mbele na nyuma, hakika wivu ulikuwa ukimpeleka vibaya…
“Haiwezekani, huyu Dokta Kisarawe anaweza kutuchanganya na rafiki yangu kweli? Hapana haiwezekani…,” Sulee akawa anawaza moyoni.
Baada ya muda mfupi, kilisikika kimya kutoka chumbani kwa Dokta Kisarawe. Baadaye akatoka Monica lakini uso wake ulikuwa haueleweki.
Kwa mbali alionekana mchovu kwa shughuli fulani lakini pia wakati mwingine alionesha uso wa uchangamfu na kuzidi kumchanganya zaidi Sulee.
“Vipi…,” Sulee alimuuliza Monica wakati wakiongoza njia ya kurudi nyumbani.
“Safi tu…”
“Umeonana na dokta…?”
“Sijaonana naye…,” Monica alimjibu Sulee huku akimkazia macho.
“Hujamuona…!?,” Sulee akauliza kwa sauti ya mshangao mkubwa.
“Sulee bwana, sasa wewe unajua kabisa niliingia ndani kwa dokta tena wewe ndiye uliyenipeleka, sasa unaponiuliza kama nimemuona dokta ulitaka nikujibuje? Basi sijamuona…,” Monica alijibu huku akimtazama Sulee kwa jicho la ‘Uwe unafikiri kabla ya kuuliza swali’.
Sulee akakaa kimya na kumuangalia Monica kama anayesema ‘Leo umeniweza’.
Wakaendelea na safari yao, lakini Sulee hakuwa amejiridhisha na majibu ya Monica hivyo akaendelea kumdadisi zaidi kujua kilichoendelea kati yake na Dokta Kisarawe.
“Oke, kasemaje…?”
“Amenipima na kunipa dawa hizi, lakini ameniambia nirudi baada ya siku mbili…,” Monica alimjibu Sulee na kumuonesha dawa ambazo alikuwa amepewa na Dokta Kisarawe.
Moyoni Sulee alijisikia wivu zaidi kwani hata yeye mara ya kwanza kuonana na Dokta Kisarawe alipimwa na kisha kupewa dawa na kuambiwa arudi baada ya siku mbili.
Hisia za Dokta Kisarawe kufanya kama alivyomfanyia yeye zikazidi kumgubika moyoni.
“Siku ya kurudi utaniambia ili twende wote, sawa…?”
“Sawa…,” Monica alijibu kwa mkato na sauti ya chini mno.
“Mbona kama umeishiwa na raha Monica…?”
“Hamna, mbona niko kawaida tu Sulee…”
“Au umeambiwa nini na Dokta Kisarawe…?”
“Hakuna kitu Sulee, niko sawa…”
Waliendelea na mazungumzo ya hapa na pale, lakini Monica alionesha wazi kuwa hakuwa sawa kabisa, jambo ambalo lilizidi kumuweka njia panda Sulee.
Baadaye waliagana na kila mmoja kwenda nyumbani kwake kwani tayari ilishakuwa usiku wa saa tatu kama na robo hivi…
Monica akiwa njiani, alianza kuwaza mambo mengi sana, lakini kubwa ni kwa nini Sulee aendelee kung’ang’ania kwenda naye mara ya pili wakati alishamuelekeza.
“Aah wapi, naenda peke yangu, si ameshanionesha…?” Monica akaendelea kuwaza na kufikia uamuzi wa kutokwenda na Sulee mara ya pili.
***
Baada ya siku mbili, Monica aliamua kwenda kwa Dokta Sulee peke yake bila kumtaarifu Sulee…
Baada ya kutimu saa moja na nusu karibia saa mbili, Sulee akazidi kushangaa kwa nini Monica hakumpitia kama walivyokubaliana.
“Huyu mbona hajafika hadi sasa hivi, au kaghairi…?” Sulee alizidi kuwaza baada ya kuona muda unazidi kusonga mbele bila kumuona rafiki yake Monica.
Akachukua simu na kujaribu kumpigia ili amuulize kama alikuwa ameghairi kwenda kwa dokta.
Simu ya Monica iliita kwa muda mrefu bila kupokelewa licha ya Sulee kurudia tena zaidi ya mara tano. Akazidi kuchanganyikiwa.
Akampigia Dokta Kisarawe, naye akawa hapokei. Akaamua kumpigia mume wake na Monica ili kujiridhisha. Mume wake Monica alimwambia Sulee kuwa rafiki yake huyo alikuwa ameenda kwa dokta.
Sulee akatulia. Baada ya kupita saa nzima, simu ya Sulee iliita na alipoitazama, alikuwa ni mumewe Monica akimtaarifu kuwa Monica amepokea na kumueleza kuwa anajiandaa kurudi. Sulee hakujibu kitu zaidi ya kulala.
Kesho yake, aliamua kwenda kimyakimya nyumbani kwa Monica. Baada ya kuzungumza, walikubaliana kwenda pamoja siku hiyo huku Sulee akimlaumu kwa kumuacha jana yake.
“Nilichelewa nikaona nitakusumbua shoga yangu,” alijibu Monica lakini akikimbiza macho yake chini kwa aibu f’lani hivi.
Ilipotimu jioni, waliongozana pamoja hadi kwa Dokta Kisarawe, walikuta wagonjwa wengine wamepanga foleni.
Mlango ukafunguliwa na Dokta Kisarawe akatoka, alipowaona haraka akamuita Monica na kuwaacha wagonjwa wengine, akafunga mlango. Sulee kuona vile, akasogea hadi mlangoni na kuanza kuchungulia tena.
Kwa mbali akaanza kusikia tena vitu vikisogezwa. Mara kikatokea kimya cha ajabu.
Baadaye kidogo, Sulee alisikia sauti ya kulalamika ya Monica akisema
Dokta mimi siumwi huko jamaniiii, mmh!.
Moyo ukazidi kumwenda kasi Sulee, alijua kilichokuwa kikiendelea kati ya Monica na Dokta Kisarawe.
“Yaani kweli Kisarawe anaweza kunifanyia hivi…?.,” Sulee alijikuta akisema kwa sauti na kuwafanya baadhi ya wagonjwa waliokuwa wamekaa kwenye benchi wamwangalie kwa jicho la kumshangaa kutokana na sauti yake.
“Haiwezekani, nasema haiwezekani hapa ni lazima nifanye kitu…,” akazidi kuwaza huku akiwafikiria njia ya kuzuia kilichokuwa kikiendelea kati ya Monica na Dokta Kisarawe.
Kitendo cha Dokta Kisarawe kumuita Monica aliyefika mwishoni na kuwatangulia baadhi ya wagonjwa kilileta kero kwa baadhi ya wagonjwa na kuanza kumjadili kwa tabia yake hiyo.
“Mh, ina maana huyu dokta hajaona kama kuna wagonjwa wengine hapa tuliowahi…?” alihoji kwa sauti ya juu mama mmoja aliyekuwa amekaa kwenye benchi la wagonjwa.
“Shangaa, halafu kila akiingia na mwanamke ni lazima afunge mlango,” alishadadia mwanamke aliyekuwa ameketi jirani kabisa na Sulee.
Mjadala juu ya tabia ya Dokta Kisarawe ulizidi kupamba moto baina ya wale wanawake waliochukizwa hasa kwa kitendo chake cha kumuita Monica licha ya kuwakuta baadhi yao wakiendelea kusubiri zamu yao ifike.
“Hapo kutakuwa na kitu, siyo bure nyie niaminini mimi,” alisema mwanamke mwingine aliyeonekana kuwa na umri mkubwa kuliko wote.
“Mama yangu vile, haiwezekani watu tumewahi kufika halafu mwingine anafika na kuitwa, hapo kuna jambo, nyie fuatilieni sana,” alisema dada mmoja aliyeonekana kuwa na haraka kutokana na kukosa pozi maalum, ilikuwa mara asimame, mara akae, kifupi alikosa utulivu.
Sulee alizidi kuwaza mambo mengi sana, kwanza moyoni alianza kujilaumu ni kwa nini alimuonesha Monica kwa Dokta Kisarawe. Alijua kamwe hawezi kuukwepa mtego wa dokta huyo kwani licha ya yeye mwenyewe kuwa mgumu hadi wanaume wengi mtaani kwao kushindwa kumpata, lakini kwa Dokta Kisarawe alishindwa kupindua, hivyo aliamini hata Monica hawezi kukwepa.
Fujo za Dokta Kisarawe zilizidi kumchanganya Monica kule chumbani, kwani alipokuwa akimpima mikono yake ilikosa staha hivyo akawa anayagusa maeneo hatarishi ya mwanamke huyo mrembo.
Mwanzoni alionekana kuwa mtulivu huku akimuuliza Monica maswali ya kutaka kujua kama tatizo liko kwake au kwa mumewe.
“Kweli kabisa na urembo wote huu, bado hujapata mtoto Monica…?” Dokta Kisarawe alianza kuuliza maswali yake ya mtego.
“Nimeshapata…,” Monica alijibu kwa sauti kavu tena isiyokuwa na masihara hata kidogo.
“Umeshapata…?” Dokta Kisarawe aliuliza kwa mshangao aliposikia kuwa Monica alikuwa ameshapata mtoto.
“Ee, unajua dokta nakushangaa sana, sasa kama ningekuwa nimeshapata muda ningekuwa niko hapa…?”
“Mh, hapa nimepatikana, lakini atalainika tu, mimi ndiye Dokta Kisarawe bwana…,” Dokta Kisarawe aliwaza moyoni baada ya kugundua kuwa Monica alikuwa mwanamke mtata kuliko alivyokuwa akifikiria.
Oke, sasa hebu kaa hapo…,” Dokta Kisarawe alisema na kumuonesha Monica kiti kilichokuwa karibu yake.
Monica alikaa kwa utulivu na kumwangalia dokta kwa macho ya ‘nakusikiliza’.
“Ni wanawake wengi sana walikuja na tatizo kama la kwako, lakini kupitia mikoni hii waliondoka hapa wakiwa na furaha…,” alisema Dokta Kisarawe na kumfanya Monica atabasamu japo kwa mbali.
“Kweli kabisa dokta…?” aliuliza Monica.
“Mama yangu vile…”
“Unafanyaje…?”
“Mimi siyo daktari kwa matokeo ya mtihani, bali ni mtaalam wa taaluma…,” Dk. Kisarawe alijibu.
Dokta alisogeza kiti karibu kabisa na alipokuwa amekaa Monica, alianza kumshika tumboni na maeneo mengine.
Mwanzoni Monica alionekana kutulia lakini kadiri mikono ya Dokta Kisarawe ilivyokuwa ikikosa staha, ndivyo alizidi kuhisi kitu cha ajabu kikimtokea.
Dokta alimsimamisha Monica, akawa anamshika kifuani na kumwambia kuwa alikuwa anaangalia kama mishipa ilikuwa ikipeleka vyema damu.
Kwa kuwa Monica hakujua chochote kutokana na taaluma ya kidaktari kumpita kushoto, ilibidi atulie na kumuacha Dokta Kisarawe aendelee na utaratibu wake.
“Aaah, sasa Dokta mbona unanishika huko tena…,” Monica aliuliza baada ya mikono ya dokta kushika yale matunda mawili yaliyokuwa yamesimama wima kifuani kwa Monica, wakati akisema hayo alikuwa akijigeuza na kusababisha kiti alichokalia kizidi kutoa mlio wa kuashiria kitu kisicho cha kawaida.
Licha ya kulalamika kwa kitendo cha Dokta Kisarawe kumgusa maeneo hatari, Monica hakuwa na upinzani mkubwa kwa mashambulizi ya daktari huyo mzoefu kwa kuwakwangua wanawake wasiokuwa na msimamo na ndoa zao, hakika Monica alikuwa amepatikana.
“Oooh, ophhhhuuu...,” Monica alianza kulalamika kwa sauti ya kubana tofauti na alivyokuwa akilalama kwa sauti ya juu, sasa alianza kuhema kwa nguvu huku akigeuza macho yake makubwa na meupe.
Dokta Kisarawe akazidisha mashambulizi kwa kushika na kupapsa kila eneo alilohisi ni hatari kwa mwanamke huyo mrembo kuliko wote ambao dokta huyo aliwahi kuvunja nao amri ya sita.
“Kwa nini jamani dokta...?,” Monica aliuliza huku akimtazama Dokta Kisarawe kwa macho ya ‘sasa umenibakiza nini? Si umalizie tu...’
“Aah, kwani nini tena jamani Monica...?”
“Sasa mbona unanishika huko bila lidhaa ya....nguuu....,” Monica alihoji lakini hakuimalizia sentensi yake kwani tayari Dokta Kisarawe alikuwa amelishika tunda lake la upande wa kushoto na kulibinya huku akilinyonya mithili ya maembe nyonyo yale ya Tanga...
“Sasa si usubiriiiiii....,” Monica akazidi kulalamika na kuongeza manjonjo ya kujikunja hali iliyomfanya Dokta Kisarawe alizidisha utundu mwilini kwa mwanamke huyo ambaye hakuwahi kuchubuliwa kwa mkwaruzo wa aina yoyote.
“Ok, sasa kama unataka mchezo si useme jamani dokta kuliko kuendelea kupeana mateso makali namna hii...,” alilalamika Monica huku akizidi kuhisi hali ambayo hata kama ungekuwa wewe ni lazima uhitaji huduma tena ile ya haja.
“Kwani wewe hujui hadi niseme jamani...,” alihoji dokta, lakini safari hii Monica hakujibu chochote zaidi ya kuanza kutoa sauti ya kugugumia kutokana na utamu wa sukari guru aliyokua akionjeshwa na Dokta Kisarawe.
“Aaah, hapo sasa jamani dokta, umejuaje jamaniiiii..., Monica alilalama baada ya Dokta Kisarawe kushika maeneo ya nyonga na kufanya kama anayekamua jipu kwa staili ya kubinya kwa mapozi yasiyosimulika.
Baada ya mashambulizi ya dokta kumzidishia raha ya ajabu, Monica akaona isiwe taabu kwani tayari akilini mwake alikuwa ameshahisi kuwa hakukuwa na jambo jingine ambalo Dokta Kisarawe alihitaji zaidi ya mchezo wa baba na mama.
Akaanza kujibu mashambulizi kwa kujibu mapigo ya utundu wa ajabu. Kwanza alimuangalia Dokta Kisarawe kwa macho ya karibu tena bila kupapasa, akamkazia na kusogeza kabisa kinywa chake karibu na cha Dokta Kisarawe, hapo akatoa ulimi wake mpana uliojaa mate ya uchu.
Hakuishia hapo, akausogeza kabisa karibu na midomo ya Dokta Kisarawe na bila kujali harufu ya sigara iliyokuwa ikitoka kinywani kwa mwake, Monica alitumbukiza ulimi wake mdomoni na kuanza kuuviringisha kila kona.
Utalaamu alioutumia kuchezesha ulimi wake kwa mbwembwe zaidi mdomoni, hali hiyo ilimtia wazimu Dokta Kisarawe na kuanza kugugumia kama dume la njiwa lililotoka malishoni.
Dokta Kisarawe akazidi kutoa sauti ambayo haikueleweka.
Monica naye akiwa na hali mbaya ya mhemko kutokana na kuchezewa kwa muda mrefu na mikono ya Dokta Kisarawe ambayo alikuwa akiipitisha maungoni kwake kwa ufundi na umaridadi wa kiwango cha juu.
Bila kutarajia, wailjikuta wakiwa wameegemea kitanda cha kulaza wagonjwa huku kila mmoja akiwa anahema kama aliyetoka kukimbia mbio ndefu za marathoni.
“Baby...,” Monica aliita huku akiushika mkono wa kushoto wa Dokta Kisarawe na kuupitisha katika tunda lake la kulia na kuanza kumwelekeza jinsi ya kulipikicha kwa ustadi mzuri, kitendo cha dokta huyo kuanza kupita juu ya eneo jeusi lililokuwa likizunguka kikonyo cha tunda hilo.
“Basi, basiiiii, basiiiiii jamaniiii...,” Monica uzalendo ulimshinda na kuanza kujinyonyoa manyoa bila ya kutakiwa kufanya hivyo, alipomaliza kujipembua, huku akilalamika kwa sauti ya kudai huduma, haraka alimvuta Dokta Kisarawe na kumlalalia kifuani mwake, akajiweka sawa tayari kwa mechi kali ya watani wa jadi.
Je, nini kitafuata? Usikose kufuatilia SIKU YA KESHO!
Post a Comment