ad

ad

Wema Sepetu kugombea Ubunge viti maalum Singida

Muigizaji marufu na x-girlfriend wa Diamond platnumz, Wema Sepetu amechukua fomu ya kugombea ubunge wa viti maalum kupitia CCM.

Akiongea na host wa kipindi cha ala za roho cha clouds fm kilichorushwa hewani tarehe 16 juni 2015 mmiliki huyo wa lebo ya Endless Fame amethibitisha hilo kwa njia ya simu alipohojiwa.

Je, Utitiri huu wa vijana ndani ya ulingo wa siasa utaleta mabadiliko chanya kwa taifa mbeleni au ndio wengi wao wanafuata ulaji kwanza?

Shukran.
Kupitia instagram page ya Petit Man
Name:  wema1.PNG
Views: 0
Size:  474.4 KB

Name:  wema2.PNG
Views: 0
Size:  167.9 KB

No comments

Powered by Blogger.