Polisi wakiwa eneo la tukio. WATU tisa wameuawa usiku wa kuamkia leo katika shambulio lililotokea kwenye Kanisa la Methodist eneo la Charleston nchini Marekani. Polisi wanawasaka watuhumiwa wa shambulio hilo.
Post a Comment