SHAMSA AWAKANDIA MABWANA ZAKE
STAA wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford ameibuka na
kuwakandia mabwana aliowahi kutoka nao kimapenzi na kusema kuwa ni
wababaishaji na sasa ni bora atafute mwanaume wa kumuoa.
“Wengi niliowahi kuwa nao ni wababaishaji tu na wala sikuona mwanaume wa kuweza kunioa. Kwa sasa nimeshakua mtu mzima na ikitokea wa kunioa nipo tayari,” alisema Shamsa.
Awali Shamsa alikuwa akitoka na mtu aliyetambulika kama Dick na kupata naye mtoto mmoja, baada ya hapo ilidaiwa bidada huyo kaingia kwenye uhusiano na Nay wa Mitego.
Staa wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford.
Akipiga stori na Amani, Shamsa anayetikisa na Filamu ya Chausiku
alisema, kwa sasa amejipanga kuolewa wakati wowote iwapo tu mwanaume
mwenye sifa anazozitaka atajitokeza.“Wengi niliowahi kuwa nao ni wababaishaji tu na wala sikuona mwanaume wa kuweza kunioa. Kwa sasa nimeshakua mtu mzima na ikitokea wa kunioa nipo tayari,” alisema Shamsa.
Awali Shamsa alikuwa akitoka na mtu aliyetambulika kama Dick na kupata naye mtoto mmoja, baada ya hapo ilidaiwa bidada huyo kaingia kwenye uhusiano na Nay wa Mitego.
Post a Comment