NASSAR AISHUKURU BENKI YA NMB KWA MISAADA INAYOENDELEA KUTOA KWA WANANCHI KATIKA JIMBO LA ARUMERU MASHARIKI
Mbunge
wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassar akifurahia msaada wa
madawati toka Benki ya NMB ,wengine ni viongozi kutoka katika benki hiyo
pamoja na viongozi waliokuwa wakiiwakilisha serikali.
|
Meneja
wa Benki ya NMB tawi la Usa River,Bernadeta Mmary akikabidhi msaada wa
madawati kwa mwakilishi wa afisa elimu ,Jumanne Masuke uliotolewa na
benki kwa shule ya msingi ,Sura iliyopo kijiji cha Songoro wilayani
Arumeru.
|
Mbunge
Joshua Nassar akizungumza wakati wa hafla fuoi ya kukabidhi msaada wa
madawati uliotolewa na Benki ya NMB kwa ajili ya shule ya msingi Sura
iliyopo kijiji cha Songoro wilaya ya Arumeru.
|




Post a Comment