ad

ad

Mr. Blue: Mke wangu kanifanya niache kuvuta bangi.


mr blue
Mkali wa Bongo Hip Hop,Mr Blue amefunguka kuwa mke wake aitwaye Wahyda amemfanya aache kuvuta vilevi vyote vikali ikiwemo bangi,pombe,sigara,mirungi,n.k.
mr blue1

Mke wa Mr.Blue aitwaye Wahdya
Mr Blue amendika leo kupitia akaunti yake ya Instagram kuwa.. Alhamdulilahi ..nimeamka salama nikiwa mwenye furaha ahsante mungu ..na nashukuru pia kwa kufaulu mtihani ahsante mke wangu @wahyda_bysers_heart kwa kunifanikisha kuacha vilevi vyote..(bangi, fegi, mirungi, pombe) na kuishi km binadamu wa kawaida..nawashauri ndugu zangu kuwa makini na marafiki wengine wapo kwa ajili ya kukuharibia maisha yako ..kuwa makin

No comments

Powered by Blogger.