ad

ad

MPENZI WA D’BANJ APATA SHAVU KUTOKA KWA RAIS

Staa wa Afro Pop, Nigeria, D’Banj’.
LAGOS, Nigeria
Mpenzi wa staa wa Afro Pop, Nigeria, D’Banj’, Adama Indimi hivi karibuni amepata mwaliko wa kukutana na rais wa nchi hiyo, Muhammadu Buhari.
Kufuatia mwaliko huo wa Adama aliouanika kwenye ukurasa wake wa Instagram, D’Banj hakuwa na mengi ya kuandika zaidi ya maneno matamu ya kumtakia mkutano mwema.Hata hivyo, wawili hao mara kwa mara wamekuwa wakiripotiwa kutokuwa na maelewano mazuri kwenye uhusiano wao.

No comments

Powered by Blogger.