KYLIE JENNER ACHARUKA MTANDAONI!
NEW YORK, Marekani
MWANAMITINDO maarufu ambaye pia ni mtangazaji, Kylie Jenner juzikati amecharuka mtandaoni na kummwagia matusi shabiki wake aliyemuuliza swali kuhusu kazi ya lipsi zake kwenye ulimwengu wa mapenzi.

Mwanamitindo huyo alionekana kuja juu kwanza kutokana na kitendo cha shabiki huyo kumchanganya jina kwa kumuita jina la dada yake, Kendall Jenner kisha kumuuliza swali ambalo lilimchukiza na kumwaga matusi ambayo hayaandikiki.“
Unaweza kuuliza swali la kijinga kiasi hicho, nisawa alivyoporomoshewa matusi,”aliandika shabiki mmoja kwenye ukurasa wake wa Instagram.

Post a Comment