MAMA SALMA AHUTUBIA MKUTANO WA WAKE WA MARAIS NA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA (OAFLA) NCHINI AFRIKA KUSINI
Mke wa Rais Mama Saloma Kikwete akiangalia moja ya machapisho mbalimbali
yanayohusiana na Mkutano wa Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika (OAFLA) unaofanyika nchini Afrika Kusini.

Wake wa Marais na Wakuu wa Nchi za Afrika wakiwa katika picha ya pamoja mara
baada ya ufunguzi wa mkutano wao wa mwaka unaozungumzia uwezeshaji kwa wanawake na Maendeleo katika Bara hili.

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa ameongozana na Mkurugenzi wa Idara ya Afya katika Taasisi ya Wanawake na Maendeleo Dr. Sarah Maongezi wakielekea kwenye ukumbi wa mkutano.

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akielekea kwenye ukumbi wa mkutano huku akifuatana na Mke wa Mfalme Mswati III wa Swaziland Inkoskati Lamagongo (katikati) na kushoto ni Msaidizi wa Mke wa Mfalme.
Post a Comment