ad

ad

JAMANI DADA MARTHA LOOO!-8

 

ILIPOISHIA:
Martha alikuwa akiishi na wapangaji wengine, wanawake wenzake ambapo kwa usiku huo walikuwa wamekaa nje jirani na dirisha la chumba cha Martha wakiongea...
“Karibu sana kaka...! Jamani huyu kaka‘angu, anaitwa Roi...”
JIACHIE MWENYEWE SASA...
Martha alimtambulisha Roi kwa wapangaji wenzake, nao walimtupia macho Roi kwani vaa ya Martha ya gauni la kulalia halafu aseme eti mgeni huyo ni kaka yake, kwao haikuingia akilini hata kidogo..!
“Oo! Karibu sana kaka yake Martha,” alisema mpangaji mmoja kwa akili za kujiongeza, wakacheka, Roi pia akacheka...
“Asante sana. Za hapa?” alisalimia Roi...
“Njema tu.”
Kazi ikawa moja kwa wapangaji hao, kuhakikisha wanaujua ukweli wa uhusiano wa Martha na mgeni wake...
“We Enjo, kama kweli huyu ni kaka yake Martha angempokea na gauni la kulalia?”
“Aaa! Siyo kweli hata kidogo, hapa ametudanganya,” walisemezana wapangaji hao pale nje tena jirani kabisa na dirisha la chumba cha Martha.
“Karibu baby,” Martha alikaribisha kwa sauti ya chini sana. aliogopa akisikika nje akiita baby wakati alishasema ni bro wake...
“Asante nashukuru,” alikaribia Roi na kutaka kukaa kwenye sofa sebuleni, lakini Martha akamdaka akiwa hajakaa, akamsimamisha, akamwomba denda palepale sebuleni...
“Mmm....mmmm...”
“Mm...mmmm...waaaa...”
Walichukua kama dakika tatu nzima wapo ndani ya denda motomoto huku wakisikika kwa sauti za kuhemka. Miguu yao chini ilitembea sawasawa na kila mmoja na uwezo wake wa kuhimili sakafu.
Ilitembea kama iliyokuwa ikiamrishwa na sauti moja. Ilikuwa kulia...kulia yote, kushoto...kushoto yote! Wakati mwingine mbele...mbele yote pia...
“Baby,” aliita Martha baada ya kujichomoa kwenye denda na Roi...
“Yes darling...”
“Chumbani ni noma, wale wapangaji wenzangu wamekaa nje ya dirisha langu la chumbani...”
“Kwa hiyo itakuaje sista..?”
“Bwana! Kwanza mi sitaki uniite sista...mimi ni baby wako...”
“Sawa sweet...sasa itakuaje?”
“Si hata hapa sebuleni panatosha au?”
“Wewe tu! Unaona panatosha kweli?”
“Panatosha darling,” alisema Martha kwa sauti iliyokwishazidiwa nguvu na joto la mahaba.
Tayari Martha alishalishika lile gauni lake la kulalia ambalo lilimchora umbo lake lote na akalichojoa kwa juu kichwani, akalitupia kule mbali...
“Mmh!” aliguna moyoni Roi kwani kwa mara ya kwanza alimwona vizuri mrembo huyo alivyoumbwa tofauti na siku ya kwanza.
Martha kwa kuwa hakuwa na vazi jingine ndani ya gauni hilo kwa hiyo hakuwa na kibarua kingine cha kuchojoa, akamshika Roi, akamfungua vifungo viwili vya t-shirt aliyovaa, akamnyoosha mikono, akamchojoa nguo hiyo, akammalizia na singlendi!
Akiwa amebakiza vazi la chini tu, Roi alijitegemea mwenyewe kujichojoa, akamaliza na kubaki saresare maua na mwenyeji wake, Martha.
Martha alikimbilia mlangoni kwanza ili kujiridhisha kwamba, umefungwa. Sasa wakati anakwenda, macho ya Roi ambayo yalikuwa kwake, yalikuwa cherekochereko kwa namna wowowo lilivyokuwa likivaibreti kwa papara kama siyo pupa!
“Mbengenyu...mbengenyu...mbengenyu...duu!” alisema moyoni Roi akifuatilia wowowo hilo lilivyokuwa likisumbuliwa na mmiliki wake.
Martha alirudi na kufikia kwenye mwili wa Roi, wakaenda wote hadi chini kwenye sofa kubwa! Puuu!
Kazi ilianza palepale, kila mmoja alikuwa moto kimahaba akimtaka mwenzake. Ni Martha ndiye aliyeonesha kumtaka zaidi Roi kwani alikuwa moto zaidi ya ule wa kifuu!
Kwa vile kila mmoja alijua wanatakiwa kutosikika nje kwa hiyo walicheza kwa ububububu ili sauti isitoke kwenda nje...
“Mm...mmmm...”
“Mm...mmmm...”
Ilikuwa ni miguno tu! Lakini yenye kutoa kielelezo tosha kwamba wapo uwanjani wanajiandaa kwa mechi ya kikubwa!
***
Kule nje, wale wapangaji walikuwa wakizungumza kwa sauti ya chini ili kutoa nafasi kwa sauti za chumbani kwa Martha kuwafikia kama wangekuwa wameingia na kuanza kulisakata kabumbu!
“Itakuwa kaka yake kweli si unaona wako sebuleni...”
“Itakuwa kweli. Lakini wakiingia chumbani tu, ujue ni geresha, hakuna cha ukaka pale,” walizungumza wale wapangaji.
Penzi ni kikohozi kulificha  huliwezi, ni kweli kabisa! Licha ya mechi kuihamishia kwenye uwanja wa sebuleni lakini ile wanapuliza kipyenga tu, Martha alianza vuvuzela la mahaba.
“Nyie...nyie kumbe wapo sebuleni kweli lakini si mtu na kaka yake, hebu sikieni,” waliambiana pale nje.
Sauti ya Martha ilisema na kutafsiri kila jambo lililokuwa likiendelea...
“Ooo...” 

No comments

Powered by Blogger.