ad

ad

IYANYA ASEMA BILA MUZIKI ANGEKUWA MFANYABIASHARA




Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria, Iyanya.
Lagos Nigeria
TANGU aliposhinda mashindano ya kwanza ya kutafuta mwanamuziki mwenye kipaji ambayo yalitayarishwa na kampuni moja kubwa ya mawasiliano, Inyanya, mwanamuziki wa Nigeria na mtunzi wa wimbo wa ‘Kukere’ amekuwa ‘gumzo la mjini’.
Katika mahojiano na kituo cha televisheni cha MTV, mwanamuziki huyo kutoka jimbo la Cross River aliyepandishwa chati na wimbo wake wa ‘Kukere’,  amesema kwamba kama asingekuwa mwanamuziki angekuwa mfanyabiashara.  Hata hivyo, hakusema ni biashara gani angeifanya.

No comments

Powered by Blogger.