NAFANYA KAZI KWA NGUVU KWA AJILI YA MWANANGU - WIZKID
Mwanamuziki maarufu wa Nigeria, Wizkid.
Lagos NigeriaMWANAMUZIKI mwimbaji maarufu wa Nigeria, Wizkid, amesema hataki maisha ya anasa ya kutumia fedha ovyo, bali anataka kuonyesha upendokwa watu wake, jambo ambalo linamlazimu kufanya kazi kwa nguvu.
Wizkid akiwa na mwanaye.
Pamoja na kwamba ana mpango wa kuanzisha taasisi ya kuwasaidia watu
wenye matatizo, mwimbaji huyo amesema hakuna kitu chenye thamani zaidi
kwake kuliko mwanaye, Boluwatife.Amesema atampenda mwanaye hadi kifo
chake na kwamba anaongeza bidii katika masuala ya muziki kwa ajili yake.

Post a Comment