BATULI ACHEZEA SHARUBU ZA KAJALA
STAA wa filamu za Kibongo, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’
ameonekana kuchezea ‘sharubu’ za Kajala baada kuweka picha ya kiazi
kwenye mtandao wake wa kijamii wa Instagram kitu ambacho kimeonekana ni
kumkejeli staa mwenzake huyo kutokana na Wema Sepetu kumuita kiazi.
Kwa upande wa Kajala alipoulizwa kama kuna tatizo lolote kati yake na Batuli alifunguka;
“Sijui kama mtu ana bifu na mimi basi ni yeye tu na kama mtu anaposti kitu kwa ajili ya kuniumiza naona ni kazi bure tu kwa kuwa vitu hivyo vinapita na maisha yanaendelea siku zote.”
Staa wa filamu za Kibongo, Yobnesh Yusuf ‘Batuli’.
Akichezesha taya na Gazeti la Amani baada ya kubanwa kwa nini aliweka picha
hiyo kwenye Instagram yake, alisema kuwa yeye ana maamuzi ya kuweka kitu
chochote kwenye ukurasa wake huo hivyo kama kuna mtu anajishtukia
shauri yake.Kwa upande wa Kajala alipoulizwa kama kuna tatizo lolote kati yake na Batuli alifunguka;
“Sijui kama mtu ana bifu na mimi basi ni yeye tu na kama mtu anaposti kitu kwa ajili ya kuniumiza naona ni kazi bure tu kwa kuwa vitu hivyo vinapita na maisha yanaendelea siku zote.”
Post a Comment