ad

ad

TAARIFA MUHIMU KUHUSU UCHAGUZI WA YANGA SC

TANGAZO LA UCHAGUZI
S/N
TUKIO
TAREHE
MWISHO
1
Taarifa ya mkutano mkuu wa Uchaguzi kwenda Kwa Katibu Mkuu wa Yanga na TFF.
4, May 2015
Kutangaza rasmi mchakato wa Uchaguzi kwa vyombo vya habari.
15, May 2015
2
Kuchukua fomu za maombi ya uongozi kutoka kwa katibu wa kamati ya Uchaguzi kwa nafasi zifuatazo
(a)  Mwwenyekiti, fomu itauzwa shilingi  200,000/= tu
(b) Makamo mwenyekiti, fomu itauzwa shilingi 150,000/= tu
(c)  Wajumbe wa Kamati ya Utendaji itauzwa shilingi 100,000/= tu
18, May 2015
22, May 2015, 10:00 jioni
3
Kurejesha fomu za maombi ya uongozi zikiambatanishwa na uthibitisho wa uraia, kadi ya uanachama Yanga ambayo haidaiwi ada na nakala za vyeti vya elimu ya sekondari.
23, May 2015
26, May 2015, 10:00 jioni, BAADA YA MUDA HUO HAKUNA FOMU ITAKAYOPOKELEWA
4
Kamati ya uchaguzi kukagua fomu za maombi ya uongozi na kubandika ktika ubao wa matangazo wa klabu ya YANGA, TFF na vyombo vya habari.
27, May 2015
28, May 2015, KAMATI ITAKAVYOONA IFAA
5
Kamati ya Uchaguzi kupokea mapingamizi
29, May 2015
31, May 2015, 10:00 jioni
6
Kamati ya Uchaguzi kupitia mapingamizi.
1, Juni 2015
6, Juni 2015, 10:00, jioni
7
Kamati ya Uchaguzi kusikiliza mapingamizi yaliyowasilishwa na kutoa uamuzi.
7, Juni 2015
11, Juni 2015, 10:00, jioni
8
Muda wa kukata rufa kwa watoa pingamizi na waliopingwa kwa Kamati ya Uchaguzi ya TFF.
12, Juni 2015
18, Juni 2015, 10:00 jioni
9
Kamati ya Uchaguzi kufanya usaili kwa wagombea wote wanaostahili kusailiwa.
19, Juni 2015
23, Juni 2015, 10:00 jioni, KAMATI ITAKAVYOONA IFAA
10
Muda wa kukata rufaa kwa wagombea walioenguliwa na kamati ya uchaguzi ya YANGA kwa kamati ya uchaguzi ya TFF
24, Juni 2015
1, Julay 2015, jioni
11
Kamati ya Uchaguzi kutangaza wagombea waliokidhi vigezo
2, Julay 2015
6, Julay 2015,
12
Wagombea kuanza kampeni kwa wapiga kura. Hakutakuwa na kampeni katika ukumbi wa mkutano wa uchaguzi kufanya hivyo itakuwa ni kosa na mgombea anaweza kuenguliwa  na kufutwa katika orodha ya wagombea
7, Julay 2015, wagombea watafanya kampeni zao kwa kuzingatia ratiba ya mgombea na wanachama wa matawi
11, Julay 2015, 12:00, jioni
BAADA YA MUDA HUO  HAIRUHUSIWI KUFANYA KAMPENI
13
UCHAGUZI MKUU
Wakati wa Uchaguzi hairuhusiwi kwa namna yoyote ile kwa wagombea au mashabiki wao kuvaa Fulana, Kofia ama chochote chenye kuonyesha jina la mgombea au kugawa vipeperushi .
12, Jula 2015,

No comments

Powered by Blogger.