Askari wa Burundi aeleza alivyo hadaiwa
Rais wa nchi hiyo Pierre Nkurunziza amejerea
nyumbani hapo jana, baada ya kuwepo kwa jaribio la kumpindua akiwa
nchini Tanzania kuhudhuria kikao cha viongozi wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki waliokuwa wakijadili mgogoro wa Burundi.
Post a Comment