MWANAHABARI DEOGRATIAS MONGELA ALIVYO UKACHA UKAPERA KWA KUMUOA ELIZABETH SANGA DAR ES SALAAM JANA
Deogratias
Mongela akiwa na mke wake Elizabeth Sanga wakati wa hafla ya ndoa yao
iliyofanyika Hoteli ya Atriums iliyopo Sinza Afrikasana baada ya kufunga
ndoa Katika Kanisa la Katoliki, Parokia ya Mbezi Luis Dar es Salaam
jana.

Maharusi
hao (katikati) wakiwa na wapambe wao kwenye hafla hiyo. Kushoto ni
Cobson Nzige na mke wake Subira Nzige (kulia), 'hakika wamependeza si
mnawaona'.

Mama mzazi wa Bwana harusi, Asia Kapori akiwahasa
Mjomba wa Bwana harusi, Karim Mtambo na pia
Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Global Publishers Ltd, Eric Shigongo akimpongeza
bwana harusi Deogratias Momgela baada ya kuoa. Wengine ni wafanyakazi
wa kampuni hiyo.

Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Global Publishers Ltd, Eric Shigongo (katikati),
akijumuika na wageni waalikwa kwenye hafla hiyo. Kushoto ni Mhariri,
Amrani Kaima na Oscar Ndauka wa kampuni hiyo.

Mama mzazi wa Deogratias, Asia Kapori akiwasalimia wageni mbalimbali kwenye sherehe hiyo.

Wageni waalikwa wakiwa kwenye hafla hiyo.

Wageni waalikwa wakiwa kwenye hafla hiyo.
Wageni waalikwa wakipata kinywaji kwenye hafla hiyo.

Mwanahabari Kulwa Mwaibale wa kampuni hiyo akiteta jambo
na Bwanaharusi.
Mwanahabari Kulwa Mwaibale wa kampuni hiyo akiteta jambo
na Bwanaharusi.
Maharusi hao wakiwa katika picha ya pamoja na
Maharusi na wapambe wao wakiserebuka pamoja na wageni waalikwa (hawapo pichani),
Stori/picha na mtandao wa habari za jamii
Post a Comment