LOWASSA KUKINUKISHA MCHANA WA LEO JIJINI ARUSHA
Wananchi
wakigombea lango la kuingia Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha
kumsikia Edward Lowassa akitangaza nia ya kugombea urais mwaka huu.
Muonekano wa jukwaa lililoandaliwa kutumika kwenye shughuli hiyo.
Wananchi wakichukua nafasi na kuketi wakisubiri kuanza kwa mkutano huo.
Wafuasi wa Lowassa wakionekana wenye furaha na 'amshaamsha.'
Muonekano wa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha ulivyong'arishwa kuelekea mkutano huo.
...wakiendelea kuingia uwanjani hapo.
Wasanii watakao kuwepo katika safari ya matumaini leo Kadija Kopa, Ney wa Mitego na wengine wa mkoani hapo watakuwepo ili kuonyesha mshikamano .
Maandalizi yamefanyika vizuri na ulinzi umeimarishwa hivyo ni vyema. Kutangaza nia kwa Lowassa ni neema kwa wakazi wa Jiji la Arusha kwani hoteli karibu zote za Arusha zimejaa.
Post a Comment