TASWIRA MBALI MBALI ZA MKUTANO WA MH. EDWARD LOWASSA WAKATI AKITANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS WA TANZANIA, JIJINI ARUSHA JANA
Mtangaza
nia ya kuwania Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye
pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono
maelfu ya wananchi waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid,jijini Arusha jioni ya jana, wakati wa kutangaza nia yake hiyo ya kuwania Urais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mtangaza
nia ya kuwania Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye
pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono
maelfu ya wananchi waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid,jijini Arusha jioni jana, wakati wa kutangaza nia yake hiyo ya kuwania Urais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mbunge wa Jimbo la Mwibara, Mh. Kangi Lugola akisalima umati wa watanzania uliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid,jijini Arusha , kumsikiliza Mtangaza
nia ya kuwania Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi
(CCM), ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa
(kulia).
Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Arusha, Ndg. Onesmo Ole Nangole akizungumza machache kabla ya kumkaribisha Mtangaza
nia ya kuwania Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi
(CCM), ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa.
Mh. Lowassa akiwapungia wananchi.
Mh. Edward Lowassa
akihutubia katika mkutano wa hadhawa.
Mh.
Edward Lowassa akiteta jambo na Mkewe Mama Regina Lowassa.
Mh. Edward Lowassa akipongezwa na baadhi ya Wabunge waliohudhulia mkutano huo, baada hotuba yake.









































Post a Comment