CHUO KIKUU DAR WAJADILI SHERIA YA TAKWIMU, MAKOSA YA MITANDAONI
Mdahalo huo uliofanyika ukumbi wa Nkrumah wengi wao walichangia juu ya maboresho ya mswada wa sheria hiyo iliyojadiliwa bungeni kwamba iwapo Rais Kikwete atasaini sheria hiyo, ni dhahiri itawanyima uhuru na haki za msingi wanahabari na asasi za raia katika kutoa mchango wake wa utoaji maoni.
Walimtaka rais asisaini muswada huo.
(PICHA/STORI:DENIS MTIMA/GPL)
Post a Comment