ad

ad

MOURINHO ASEMA ANAJALI MATOKEO NA SI TAKWIMU ZA MCHEZO

 Hazard celebrates scoring the only goal against Manchester United as Chelsea edge towards the league title
Kocha wa Chelsa Jose Mourinho amesema hajali kabisa kuhusu takwimu za mchezo bali anachoheshimu yeye ni matokeo.

Chelsea iliifunga Manchester United 1-0 katika mchezo wa Ligi Kuu kwenye uwanja wao wa Stamford Bridge lakini ni wageni ndio waliotawala mchezo. Hazard celebrates scoring the only goal against Manchester United as Chelsea edge towards the league title United ilimiliki mchezo kwa asilimia 71 dhidi ya 29 za Chelsea.
 Mourinho gestures on the touchline as he watches his side beat Manchester United 1-0 at Stamford Bridge

Hii ni mara ya kwanza kwa Chelsea kumiliki mpira kwa kiwango kidogo kiasi hicho tangu mwaka 2006. United pia ilipiga pasi 400 zaidi kulinganisha na Chelsea. Lakini Mourinho anasema hilo kwake si si hoja. “Wangeweza hata kumiliki kwa asilimia 99 sioni tatizo, jambo la msingi ni matokeo. “Unapocheza kwa malengo na kupata pointi unazohitaji, basi mambo ya takwimu huwa hayana maana yoyote.”
Credit: Saluti5.com

No comments

Powered by Blogger.